Download “Asante” SONG By Evelyn Wanjiru
Kenyan Christian/Gospel Artiste Evelyn Wanjiru Released a New Single Titled “Asante”, Which is a Powerful Song That Will Uplift Your Spirit And Surely Be Worth A Place On Your Playlist.
Available Now on Gospelmetrics For Free Download, Kindly Share & Stay being blessed
Stream and Download Mp3/Music Below:
What Do You Think About This Audio?
We Want To Hear From You All
Kindly Drop Your Comments
Watch Video (Mp4) Below:
Asante Lyrics By Evelyn Wanjiru
Asante Yesu, Asante Yesu
Asante Yesu, Asante Yesu
Kwa wema wako, kwa wema wako
Kwa wema wako, kwa wema wako
Pokea sifa, pokea sifa
Pokea sifa, pokea sifa
Ninakupenda, ninakupenda
Ninakupenda, ninakupenda
Kwa wema wako, kwa wema wako
Kwa wema wako, kwa wema wako
Pokea sifa, pokea sifa
Pokea sifa, pokea sifa
Tazama yale Mungu ametenda
Ametimiza ahadi yake ndani yangu
Na sasa mimi nashuhudia
Ya kwamba Mungu wangu mwaminifu
Ya kwamba Mungu wangu anajibu
Ya kwamba Mungu wangu anaweza
Asante Yesu, Asante Yesu
Asante Yesu, Asante Yesu
Ninakupenda, ninakupenda
Ninakupenda, ninakupenda
Mwaminifu, mwaminifu
Mwaminifu, mwaminifu
Uombalo utapewa
Utafutalo utaona
Sikio lake si zito
Kusikia ombi lako
Furahia ndani ya Yesu
Mpe ibadi yako
Mwaminifu, mwaminifu
Mwaminifu, mwaminifu
Asante Yesu, Asante Yesu
Asante Yesu, Asante Yesu
Other Songs From Evelyn Wanjiru Also Can Be Downloaded HERE
Hello: thanks for the good gospel song.
Is the video released too?