Download “Sauti Ya Mwisho” SONG By japhet zabron
Tanzania Christian/Gospel artist Japhet Zabron Ft. joel lwaga Released a new single titled “Sauti Ya Mwisho” which is an uplifting song that can lift your spirits And Absolutely be Worth A place on your playlist.
It is available now on Gospelmetrics For Download Free, Make sure to share it with your friends and remain blessed
Listen to and Download Mp3/Music below:
What do you think about this Audio?
We'd like to hear from You All
Please drop your comments
Play video (Mp4) Below:
Sauti Ya Mwisho Lyrics By Japhet Zabron
Nimekitaja na kukitaja kilio changu Yesu wangu ili unisaidie
Niliutenga usiku wa jana
Usiku ule, Yesu wangu uje tusemezane eeh
Si unajua usiku kucha nilivyokesha Yesu wangu kukuleza tatizo
Usiichoke hii nenda rudi yangu kukuita
Bwana wangu njoo tulimalize tatizo
Si waijua na nia yangu
Nia ya moyo navyotamani nifanikishe Baba
Sina ramani na mambo yangu kama kipofu akitafuta apite wapi
(Nitaingojea, sauti ya mwisho
Itokayo kwako ijibu yaishe mwanaangu)
Kweli najua (tanifariji) eeh na tena (itaniinua)
Na bado (itanipandisha)
Na bado nab ado Yesu wangu (iseme yatosha mwanangu)
Adui aweza kuwa na maneno ya kwanza ila neon la mwisho ni lako
Maumivu yaweza kuwa ni mazito kuvumilika ila neno lako zaidi ya sindano
Nitasubiri usiku huu
Nitasubiri kutapokucha
Nitasubiri kwa imani
Nitasubiri kwa maombi
Ni neno lako moja nasubiri ukisema yatosha yatosha mwanangu nitaingojea
(Nitaingojea) sauti ya mwisho
Itokayo kwako bwana
Ikinijibu maswali yangu (ijibu yaishe mwanangu)
Hiyo itanifariji (itanifariji)
Itainua moyo wangu (itaniinua itanipandisha)
Juu sana itanipandisha
Ukisema yatosha (iseme yatosha mwanangu)
Bwana nasubiri nasubiri nasubiri nitaingojea
Mimi nangoja nangoja sauti yako Baba (sauti ya mwisho)
Ikisema yatosha
(Itokayo kwako) ikijibu maswali yangu
(Ijibu yatosha mwanangu)
Inifariji (itanifarijii, itaniinue)
Na inipandishe inipandishe Baba
Itanipandisha juu sana (itanipandisha)
Kwa kusema tu imepona (isema yatosha mwanangu)
Yatosha mwanangu, yatosha mwanangu
Yatosha mwanangu
Ndilo ni neno nalo subili kutoka kwako (yatosha mwanangu)
(Iseme yatosha mwanangu) ukisema hakuna wakupinga
Yatosha mwanangu, yatosha mwanangu
Ukisema hakuna machozi tena
Ukisema kuna huzuni tena (yatosha mwanangu)
(Iseme yatosha mwanangu) yatosha Baba
Other songs from Japhet Zabron Also Can be downloaded Here