Home Gospel Music Sarah K – Mnyunyizi Wangu

Sarah K – Mnyunyizi Wangu

Free Download “Mnyunyizi Wangu” SONG By

Sarah K - Mnyunyizi Wangu

Kenyan Christian/Gospel Artiste Released a New Single Titled “Mnyunyizi Wangu”, Which is a Powerful Song That Will Uplift Your Spirit.

Available Now at all Major Digital Music Streaming providers & Gospelmetrics. Kindly Share & Stay being blessed

Stream and Download Mp3/Music Below:

DOWNLOAD HERE

What do you think about this Audio?

We want to hear from you all

Drop your comments

Watch Video Mp4 Below:

Mnyunyizi Wangu (Lyrics) –
Uninyunyiziaye maji, wakati wa ukame
Huwachi ninyauke, Oh nakupenda
Uninyunyiziaye maji, wakati wa ukame
Huwachi ninyauke, Oh nakupenda

Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda
Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda

Kama mti kando ya mto, Hivyo ndivyo ilivyo
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda
Kama mti kando ya mto, Hivyo ndivyo ilivyo
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda

Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda
Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda

Kiarie: “Nakupenda Jehovah wewe ni mnyunyizi wangu
Unaninyunyizia maji wakati wa ukame, huachi ninyauke.
Unaninawirisha Jehovah, Jina lako nalitukuza nakupenda
kwa roho yangu yote. Nitakutumikia maishani mwangu Jehovah
Nakuimbia wimbo mpya, sina mwingine…”

Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda
Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda

Other Tracks From Also Can Be Downloaded HERE

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here